Mnamo tarehe 9 mwezi huu American Corner Pemba waliandaa kambi ya kiengereza ya siku moja ambayo ilihudhuriwa na vijana pamoja na wanachama wa JONDENI ENGLISH CLUB kutoka Mkoani na CHAKE CHAKE ENGLISH LANGUAGE CLUB kutoka Chake Chake.
Baadhi ya vijana na wanafunzi wakishiriki katika michezo
No comments:
Post a Comment