Moyo Media - Adz

Moyo Media - Adz

Thursday, April 1, 2010

KARIBU AMERICAN CORNER -PEMBA

HII NI MAKTABA NDOGO ILIOKO KATIKA MAKTABA KUU - PEMBA AMBAYO INA VITABU, MAJARIDA , MAGAZETI MBALI MBALI KUTOKA NCHINI MAREKANI.






















Pia wanatoa huduma mbali mbali za kielimu , huduma za internet bure n.k
MADHUMUNI: YAKE NI KUDUMISHA URAFIKI KATI YA U.S NA TANZANIA
                             KUELIMISHA VIJANA WA PEMBA KATIKA NYANJA ZA MAENDELEO
















 






No comments: