TIENS ni kampuni ya kichina inayo husiana na masuala afya na kipato tangu majuzi waliwasili hapa Pemba kwa lengo la kupata wanachama wapya na kutoa elimu kuhusu kampuni yao .... pia walianzisha maduka mbali mbali ya kuuzia vifaa na madawa ya matibabu katika maeneo ya Wete , Mkoani , Konde na karibuni Chake Chake ...
Jee unahitaji kufahamu zaidi kuhusu TIENS BONYEZA HAPA

No comments:
Post a Comment