Moyo Media - Adz

Moyo Media - Adz

Saturday, November 17, 2012

MAFUNZO YA INTERNET

Miongoni mwa wanafunzi kutoka Zabecs walipata fursa ya kupata mafunzo mafupi ya siku moja kuhusu jinsi ya kutumia mtandao wa internet, ambayo yaliandaliwa na American Corner Pemba.

Jifunze zaidi kuhusu Zabecs kupitia anuani hii Zabecs

No comments: