Moyo Media - Adz

Moyo Media - Adz

Monday, June 16, 2014

PEMBA LIVE

Pemba Live ni huduma mpya kutoka Moyo Media Co. Ltd inayokuwezesha kupata huduma mbali mbali zikiwemo huduma ya kutangaza biashara yako, kutafuta marafiki, mijadala, mambo ya kiuchumi, biashara, sanaa n.k, pia itakuwezesha kupata habari kuhusu nafasi za ajira hapa Pemba.
Huduma hii inatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwaka huu
kwa maelezo zaidi tembelea facebook page yetu https://www.facebook.com/pembalive

No comments: