HISTORIA : DAR-ES-SALAAM
Dar-es-salaam ilikuwa ikiitwa MZIZIMA ( kwa maana ya MJI WA NEEMA ) ni mji wa zamani ulioanza mwanzoni mwa miaka ya 1857 . ingawa historia ya Mzizima ilianza tangu miaka 1000 iliyopita ambapo watu wa Barawa ( ambao walijichanganya na Wazaramo na kuwa kati yao) ambao walitulia na kulima katika maeneo ya MBWA MAJI MAGOGONI kwa sasa inaitwa KIVUKONI , MJIMWEMA na GEZAULOLE.

DAR-ES-SALAAM NI MJI WA NEEMA , NJOO UJIONEE ....
Historia hii ya jiji la neema inaendelea ....................

1 comment:
congratulation mr mohd for your blog its nice one
Post a Comment