Moyo Media - Adz

Moyo Media - Adz

Saturday, April 16, 2011

AFYA : USAFI WA MWILI
USAFI ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu , ambao humfanya mtu ajisikie huru kwa kila kitu .
wakati anapokuwa na marafiki zake , familia yake hata anapokuwa pekee . Leo tutazungumzia usafi wa kwapa .Kwapa ni sehemu ambayo inahitaji ulinzi na utunzaji mzuri kila wakati . Haijalishi unaoga mara ngapi kwa siku au unatumia mafuta ya aina gani .
Watu wengi wanazania kuwa ili kuondoa uchafu na harufi mbaya ya kwapa  ni lazima utumie mafuta mazuri
Hali ambayo miongoni mwao haiwasaidii chochote

 Mingoni mwa njia ya kutatua tatizo hili ni kutumia limau !
MATUMIZI YA LIMAU
 >Kata limau na ondoa mbegu
 > Baada ya kumaliza kuoga , jipanguse vizuri 
 > Anza kujisugulia pole pole maji yake , unaweza kutumia kitambaa laini au la
USHAURI
Unaweza kutumia kwa muda ya wiki mbili au zaidi , utaona mabadiliko yoyote au la
Usipendelee sana kutumia dawa za kemikali kutoka viwandani

No comments: