KUSHUKA KWA THAMANI YA FEDHA TANZANIA.
Hii inasababishwa na mambo mbali mbali yakiwemo
Uzalishaji mdogo wa bidhaa ndani ya nchi : ikiwa kilimo ndio uti wa mgongo . lakini uzalishaji hautoshelezi kwa Tanzania nzima .
KUAGIZA BIDHAA NJE YA NCHI: hii inapelekea kushuka kwa thamani ya fedha , kwa sababu bidha ifikapo nchini , muuzaji ili nae apate faida ni lazima apandishe kiwango cha thamani ya bidhaa kwa maslahi yake binafsi na kuifanya pesa kutokuwa na thamani .
Mabadiliko haya yanatokea kila siku , ukiangalia siku zilizopita na sasa unakuta tofauti kubwa sasa .

No comments:
Post a Comment