Moyo Media - Adz

Moyo Media - Adz

Saturday, March 5, 2011

       SIKU YA MWANAMKE DUNIANI
Kila ifikapo mwezi Machi ya kila mwaka , nchini Marekani mwezi huu huadhimishwa kwa jina la  WOMEN'S HISTORY MONTH.
Huu ni mwezi wa kuwakumbuka na kuienzi michango mbali mbali wanayotoa akinamama. Ni mwezi unaoambatana na harakati nyingi za akinamama ambapo huwepo mazungumzo , maigizo, maonyesho ya filamu na mengi mengineyo kwa lengo la kumjenga mwanamke ambaye ni sehemu kubwa ya jamii.

Akina mama wa kikundi cha MICHUNGWANI COOPERATIVE SOCIETY katika ufunguzi wa sherehe za SIKU YA MWANAMKE 2011 iliyofanyika AMERICAN CORNER PEMBA
 Baadhi ya wanachama wa kikundi cha MICHUNGWANI COOPERATIVE SOCIETY



No comments: