Moyo Media - Adz

Moyo Media - Adz

Sunday, March 6, 2011

MAMILIONI YA JK :
Miongoni mwa wananchi  hadi hii leo hawajapata mikopo au muda umeisha ? . Tatizo hili limewakumba wananchi hususani wakaazi wa Pemba . Miongoni mwao wakitoa malalamiko yao bila ya kutaka kutajwa majina , walielezea kuwa hadi hivi sasa hawajapata kitu .

No comments: