Moyo Media - Adz

Moyo Media - Adz

Tuesday, June 28, 2011

STUDENTS EXCHANGE PROGRAM

American Corner Pemba hivi karibuni walianzisha kipindi kiitwacho STUDENTS EXCHANGE PROGRAM maalum kwa vijana na wanafunzi ambacho kitawawezesha kukaa pamoja , kujuana miongoni wao ,kujifunza pamoja na kushirikiana katika shughuli za kielimu.
                                         Wanafunzi wakipewa maelezo jinsi ya kutumia maktaba
Miongoni mwa wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Konde na wanafuzi , vijana wa shule za Chake Chake .

No comments: