Moyo Media - Adz

Moyo Media - Adz

Monday, August 31, 2015

ZAC - PEMBA YAANDAA MAFUNZO KWA VIJANA NA MAKUNDI MAALUM

Siku ya Jumamosi ya tarehe 29/08/2015 Tume ya Ukimwi Pemba ilianza kutoa mafunzo kwa makundi maalum kutoka kila kona ya Pemba, na kuwakutanisha kwa pamoja, Mjini Chake Chake, Skuli ya Maandalizi, Madungu

        Picha: Moyo Home Entertainment

No comments: